Saturday, 30 June 2007

Mambo Ya BeachWear Hayo!








Nimeona leo warembo nisijisahau sana maanake sijawahi kuongelea au kuweka mavazi ya ufukweni..sasa nimeona leo kwa wae wapenzi niwadunge hiyo stock hapo mcheze nayo na mkae mkijua ni kwamba mavazi haya nilivyoyapangilia ni kwa kila mtu uwe unapenda kuogelea au unaenda beach kusafisha macho na kupunga upepo 2...basi tazama nimekuwekea kuanzia Double Hoop Earring,Chain Sunglasses, O'Neill Only A Lad Top,O'Neill Only A Lad Bottom,Star Cuffed Short na hizo O'Neill Peek-a-Boo Flip...vpi hilda,sandra,bella na sister c mpo hapo....

1 comment:

Faith S Hilary said...

for 4 1st time i think sheria u r puttin beachwear..i mean wit a bikini...and it's sooooooooooooo nice...it's candy1