Saturday, 30 June 2007

Mambo Ya BeachWear!






Nimeona nisisahau vilevile wakurugenzi wangu kuwapa stock ya Beachwear na nyie muweze kusukutua vinywa vyenu..hapo nimewadunga kuanzia hiyo Sunglasses,white crew neck t shirts,Billabong Justice Boardshortna hizo Reef Stuyak Flip...

No comments: