
Hayo ndio mambo ya designer Ben Sherman na stock zake kuanzi hilo t-shirt na aina na style ya raba zake...nimewadunga kuanzia Ben Sherman T-shirt,Black Plaque Belt na Simple Snicker hiyo ya Ben Sherman ikiwa imenakshiwa na rangii mbalimbali na alama ya duara hiyo ambayo ni nembo ya brand zake....mdau wangu steve up hapo?



1 comment:
Siwezi kusema jinsi mtu ukilipuka stock hii jinsi utakavyo kimbiza ila nitasema tu kuwa ni full makandamizo ukiwa street
Post a Comment