




Naona kazi kwenu wacha niwape muda warembo mpate nafasi....nimewapa stock hiyo matata sana special kwa wadau zangu akina mariam,judith,candy1,sophia mk,sophia,shamim,jessica,edna,anna,lulu na wote bila kumsahau ...niwapa kuanzia Prari Faustine shoes,Spectacle Mini Skirt,Daytrip Twin Print Shirt,Marbled Bangle Bracelets na juu nimekumalizia na hiyo Oval Watch...mpo hapo
2 comments:
Haha...Thx Sheria kwa stock hiyo..it's looks really nice and sexy..I especially love the skirt andd the blouse..Nice..it's candy1
Natamani nimuone mdada mmoja amekota ndukii na hii stock akiwa mtaani lazimaa kwa namna moja au nyingine masista du wamkubali kwa sanaaaa tu hope shamim na candy lazima wataagiza hii stock
Post a Comment