Warembo mnaonaje mixing colour hiyo..nimeona kidogo niwabadilishie muonekano kidogo ila hizo colour zinachanganya...nimewadunga kuanzia Braided Handle Tote,Buckle Headband,Braided Hoop Earring,Daytrip Eyelet Tube Top In Both Front & Back View,Starlite 20 Jean na Sendozzz hizo....
No comments:
Post a Comment