Sunday, 10 June 2007

Mambo Ya Yellow & Brown Hayo!









Hayo ndio mambo ya kulipuka pamba nyepesi hasahasaukiwa umemix rangi ya brown/chocolate na Yellow ....kama hapa katika mlipuko huu nimeona niwawekee kuanzia Cream Dial Watch,Yellow Polo,Stitched Belt,Guess Edward Boot Jean na Pro-Kids simple snickers.......

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

I mean those snickers they are off the hook they are tight and the yellow polo t shirt damn luks tight tena its my size kabisa i guess its medium