Wednesday, 6 June 2007

Mambo Ya Harusi Hayo!












Tunapoongelea swala la harusi huwa tunaongelea mambo mengi yanayohusu kila kitu hasahasa mavazi yenyewe ndio kitu cha kwanza...sasa leo nimwapa choice kubwa sana ya nguo hizo kuanzia bwana harusi mpaka bibi harusi....embu nichagulieni wadau zangu?Nadhani mrembo edna umeona mashambulizi haya ya leo ..basi mimi sina la kusema kazi kweko.....

2 comments:

shamim a.k.a Zeze said...

wow nimeisimind hiyo wedding dress ya kwanza kabisaaa i wish ningeriwand...i'll look forwad for my annivesary...lol

DERRICK MUSHOBOZI said...

I have nothing to say good work always express it self good job sheria