Wednesday, 13 June 2007

Mambo Ya Pama,Kodrai,Travolta!






Hayo ndio mambo ya kuvaa simple na style ambayo ina muonekano mwingine kabisa...kama hapo pichani nimeona niwawekea wakuu zangu mambo ya kuvalia pama lijulikanalo kama Panama Pama, Black YSL print shirt,Brown buckle belt by Tommy Hilfiger,Kodrai Jeans by Ben Sherman na chini unakandamizia na travolta hilo half la black na mbele linakua sharp kiasi flani...

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Siku zote travolta mimi huwa nazikubali na kiatu ambacho siku zote hakishuki chati hata kidogo ni kiatu cha back in the days kwa stock kama hiyo ukipiga na jeans ya bluu halafu juu unapiga na shati fulani kali la strips halafu na polo belt lazima watu wakukubali