Tuesday, 5 June 2007

Mhhhh Ful Velvet Suit & Silk Tie!


Tazama siku zote unapovaa suti yoyote ambayo iko dark ful kuanzia shati,koti,suruali lakini tai inakuwa na tofauti huwa inavutia sana na kuwa inavutia sana...kama pichani huyo ni mtayarishaji mziki maarufu David Banner akiwa ametoka bunduki sana na huo mdungo....na kukandamiza na msumari wa mwisho kwa kuvuta mkonga wa Cuban Cigar kukamilisha zoezi zima...

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

hII SUTI BOMBA SANA HALAFU HUYU MSHIKAJI SIKU HIZI KAPOTEA SISIKII NYIMBO ZAKE ILA SUTI KAMA HII INAFAA SANA KUVAA WAKATI WA USIKU UTATOKA MWAKE ZAIDI NIMEPENDA HIYO MATCH YA TIE NYEKUNDU