



Ukisikia uvaji wa rock style basi ujue ni uvaaji wa nguo zenye metal za maana au alama za mafuvu au misalaba na maminyororo ya kumwaga kiunoni na chini huwa wanamalizia na simple raba iwe converse,vans,ice cream au hata adidas kama uionayo pichani hapa na wakitoka katika aina hiyo ya viatu ni huwa wanahamia kwenye travolta zenyewe .....kama hapo pichani unaona MonkeyBomb Pilot Watch,Affliction Seeker T-Shirt,Bowtie Belt,Affliction Cross Jean na simple white adidas hiyo.....
No comments:
Post a Comment