


Hayo ndio mambo ya nightout wrembo pale tu unapopata mtoko wa usiku na kulipuka vifaa kama hivyo...tazama kuanzia hilo pochi la chuichui,Natural emboirdered prom dress (Gauni),na kiatu hicho pia cha chuichui iliyochanganyikana na rangi za brown,white na brown ambayo inamatchisha na pochi yenye rangi hizo hizo na kumalizia na hilo gauni la cream brown na ribon ya white pia!
1 comment:
sheriaaaaa............ tutajenga kweli namna hii, manake unatamanisha nikanunue sasa hivi. si mchezo bora ungekuwa designer kazi yako safi kabisa
Post a Comment