Wednesday, 6 June 2007

Nyumbani Ni Nyumbani Tusisahau!Mambo Ya Bazeeeeeeeeeee!

Siku zote kuna msemo unaosema nyumbani i nyumbani hata iw vipi kwakuwa kutokana na maombi ya wadau zangu wengi nimeona niwakate kiu chenu kwa kuwapatia stock hii matata yavazi maarufu la bazeeeeeeeeeeee ambalo lia asili ya kutoka West Afrika hasahasa nchi ya Nigeria ndio washika dau wakubwa...embu tazma ubunifu wa mavazi haya,mateial na hata style ya ushoneshwaji wake ni balaa...unajua sifa kubwa wa hili vazi kwa upande wangu huwa halimwangushagi mtu awe maskini au tajiri ili yoyote atakayejilipua nao anaonekana yuko njema sana...au uongo washika dau?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Mama zetu hasa wakiafrika wakivaa staili hii uwa wanatoka bomba sana sema basi tu lakini mavazi haya ukikuta mtu anajua kuyapangilia vizuri akiingia sehemu kwenye mikia ya jogoo lazima watu wote mumtolee macho