

Unajua wrembo wengi siku za mwanzo wanakuwaga na luk nzuri sana mbele ya public na hata style yao ya mavazi mwanzoni inakuwaga nzuri..ila kasoro inakuja pale wanapopata umaarufu na hela ndio hapo wanaanz kuchemka katika kila kitu kuanzia mavazi na hata style zenyewe...kama hapo pichani ni mrembo Fantasia pichani juu ni jinsi alivyokuwa zamani na chini jinsi alivyokuwa hivi sasa chini.....sasa kusema ukweli kachemka sana kuanzia style yake ya nywele ya sasa na hata mavazi aliyovaa....jamani wacheni hizo ukitoka na style yako ya kwanza kaza buti hapo hapo..embu mtazame kama halle berry alivyo sasa na style yake ya nywele alivyokuwa ni bora zamani alivyokuwa anaweka nywele fupi....au mnasemaje wadau hapo?
2 comments:
Before fantasia alikuwa ana figure nzuri sana lakini naona siku hizi amejiachia sana hadi amekuwa sio tena mzuri kwenye uvaaji hasa kutokana na umbo alilonalo kiasi kwamba hata akivaa nguo zingine hazimkai fresh kutokana na unene alionao sasa hivi sijui hii ni sababu ya kuwa na pesa au ndio ameridhika na maisha itabidi aanze kufanya exercise kupunguza huo mwili
Fantasia looked nice b4 but now..she sucks...and her tatoo either....she better loose weight...it's Candy1
Post a Comment