Friday, 1 June 2007

Polo T-shirts & Jeans!












Wakuu embu niwape dungo wa kusukutua nyoyo zenu kama muonavyo pichani kuanzia juu mpaka jinsi gani unatakiwa kumalizia stock hiyo...tukianzia juu ni Fossil Modern Dial Watch,Computer Messenger Bag,Vintage Polo,Derek Jeans na Puma Roma Shoe hiyo chini...vipi wazee wazima akina tinashe,chiza na matika?



1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Nice simple and clear i love the puma shoes and the design of the t shirt