Saturday, 9 June 2007

Simple Daytrip Outfit Maselaa!











Hayo ndio mambo ya kujipigilia simple wakurugenzi wng...kuanzia kujilipua na Fossil Ban 11 Dial Watch,Affliction Lion Shield T-Shirt,Buckle Fabric Stripe Belt,Lucky Brand Dusty Derby Jean na Flat White Leather Sendozzzzzzz......Soooooooooooooooooo!

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

duh hizo sandals na jinsi hiyo t shirt walivyo design nimekubali lazima utoke bomba siku kama za jumapili na jumamosi ndio inakuwa vizuri zaidi ukitoka hivi