Friday, 29 June 2007

Street Style...Part 2!





Hiyo ndio street style part 2...hiyo ni mitoko ni yenyewe wadau zangu kujilipua kama club hivi na sehemu nyingine za kuweza kujilipua....nimeona nikudunge A.J. Morgan Silverlake Sunglasses,Volcom Jagged OP T-Shirt,Volcom Jagged OP T-Shirt na hizo Adidas za kijivu hapo....

No comments: