Hayo ndio mambo ya street style warembo...nimekuweka vitu vichache ila balaa kama mnavyoviona hapo pichani juu...nimekulimbikizia kuanzia Cinched Tote,Square Sunglasses,Chaser Love Not War T-Shirt,MEK Flap Pocket Stretch Jean na flat shoes hiyo....mpo warembo nadhani hapo....
No comments:
Post a Comment