Thursday, 28 June 2007

Swizz Beats-Its Me Snitches!



Tazama wadau zangu wale wapenzi wa kuvaa Hiphop Style...ndani ya hii video mpya ya Swizz Beatz-Its Me Snitches utaona ni jinsi gani jamaa kapigilia mapigo makali na simpl na kutoa poa kinoma......ngojea niwape muda wadau wng mkate kiu na hiyo video...

No comments: