EAST AFRICA HOT MUSIC VIDEOZ!
UGANDA!
Bombokat-Chameleone
Haya wadau zangu hilo ni pini la 3 kutoka kwa mwanamziki mahiri Chameleone-Bombokat kutoka Uganda....na kusema ukweli pini hilo limetulia sana sana na jamaa anajua kuimba vibaya sana..basi sina la kusema wadau zangu embu niwape muda wa kuserebuka maanake weekend hii imeshaanza....
No comments:
Post a Comment