TANZANIA!
Crazy Over U-Klyinn
Hiyo ni video ya pili kuwadunga wadau zangu kutoka kwa mwanamziki mahiri Klyinn-Crazy Over U.....Mwanamziki huyu kutoka pale bongo anajitahidi sana kwenye video zake mbalimbali kwa kuwa zimekwenda shule kuanzia location anazochukulia video zake,mavazi anayolipuka na hata midundo na uimbaji wake...basi wacha niwape nafasi wadau mtazame hili pini...
1 comment:
I just like da way she dresses...nice vid..it's candy1
Post a Comment