Saturday, 30 June 2007

KENYA!

Usimpe Roho-Pam,Wyre,Nyashiski,Abass,Nameless & Juakali!



Nimeona leo ni weekend wacha niwape burudani kidogo wadau zangu na vilevile muweze kuona video mpya mbalimbali kutoka East Afrika...hapo nimewadunga stock ya song kali kutoka kwa wanamziki machachari sana kutoka Kenya..nilitaka muone wanzetu wakenya wanavyojitahidi kuchukua video fresh,uchaguzi mzuri wa location kwaajili ya video zao,mavazi na pia midundo yao ya mziki ilivyotulia kinyama...basi sina la ziada ila muenjoy stock hiyo wadau zangu.....

No comments: