Tuesday, 3 July 2007

Hot Style!

Am speechless baada ya kuona hii picha ya mdau wangu mkubwa Judith..kusema ukweli amependeza sana na mapigo hayo simple na kuonekana smart kinoma....tazama kuanzia juu mpaka chini alivyomatch si mchezo..let me end up kwa kukuambia umetoka nyoko kinomaaaaaaaaa J......

5 comments:

Anonymous said...

sheria who is this she's on fire man... vipi mbona unapicha zake nyingi humu,kitu nini.........

Anonymous said...

nimekubali demu huyo kawaka

Faith S Hilary said...

Hehe...she luks fine....asante anony hapo juu kwa kuuliza hilo swali na tunasubiri sheria ajibu...Lol...it's candy1

Anonymous said...

Lile povu kule nyuma ndo limeharibu maneno

Unknown said...

The dress is cute so are the shoes..I wouldn't do that bag with it though!!I love the bag though!!