Tuesday, 3 July 2007

Mambo Ya Animal Print Hayo!








Leo nimeona warembo niwawekee mambo ya animal print kwenye hicho kitube top hapo juu...nadhani style na mpangilio wa stock hiyo nitakuwa nimewagwadua warembo..basi ngojea nianze na gwaride la utambulisho kuanzia juu kama ifuatavyo nimeanza na Black grab bag,Stretch Bracelet,Filigree Bead Necklace,Daytrip Animal Print Tube Top,Guess Daredevil Stretch Jean na hivyo Sole Mollie Shoe

No comments: