Tuesday, 3 July 2007

Simple Mapigo 4Weekend!




Hapa sina la kusema sana wadau zangu ila nadhani nyie wenyewe mtakuwa mmeridhika sana na huo mkakati mzima wa mapigo hayo pichani..bai nimekuwekea kuanzia Air Stripe Flip Flops,Lenny Linen Trousers,Mick Plain Red Crew Neck T-shirt na Owen Red Aviators..mpo hapo wakurugenzi?

No comments: