Sunday, 1 July 2007

Mambo Ya Timberland Boot!







Hayo ni mambo ya kulipuka Tims au Timberland Boot kwa linavyojulikana na wengi...Buti hili ni balaa kulivalia ndani ya jeans kali na matata na Polo Tshirt yoyote simple na kali au T-shirt yoyote tu na mtoko kwa ujumlla ukawa barabara sana...basi ngojea niwape gwaride la utambulisho la stock hizi kuanzia juu nimekuwekea Fyasko Safari T-Shirt, Fossil Blake Belt,Lucky Brand Dusty Derby Jean na kumalizia na hiyo Timberland Boot a.k.a Mti,Tims au Mchungwa kwa wengine kinavyojulikana wakuu...basi kazi kwenu wakurugenzi wng....

No comments: