Sunday, 1 July 2007

Warembo Catalogue Hizo!






Mapigo kama hayo sina neno la ziada la kuongeza hapa zaidi ya wadau kuwapa utambulisho 2 wa pamba hizo nyepesi ila ni balaa kinoma pindi ukijitwika na kuingia nazo sehemu sehemu hivi...basi utambulisho wa stock hizo ni kama ifuatavyo ni kuanzia Large Tote,Double Pendant Necklace,Daytrip Houndstooth Jumper,Silver Tuesday Stretch Jean na hizo Mia Hepburn Shoe........


1 comment:

Faith S Hilary said...

Nice and Simple...dat's all wot i can say...it's candy1