Thursday, 5 July 2007

Nancy Sumari!

Huyo ndio mrembo Nancy Sumari ambaye ameshawahi kuwa Miss Tanzania 2005 kama sijakosea..kusema ukweli mrembo huyo anajipigiliaga pamba simple na zinazoendana na mwili wako fresh kabisa....kama hapo pichani juu alikuwa katika show ya mavazi ya mbunifu maarufu pale bongo Mustafah Hassanali...nadhani hapo mrembo candy1 nimeona nikudunge na stock hiyo kwanza na kuna nyingine kedekede zinakuja nyuma........

4 comments:

Anonymous said...

hi kaka sheria naomba ubadilishe link ya vipodozi as vipodozi.blogspot.com
aisha habib

Faith S Hilary said...

asante sana Sheria..I like Nancy..and that outfit from Hassanali is soooo nice..she luks nice...it's candy1

Unknown said...

I am not liking the look and I think she has lost too much wait and her make up is never on point...She is beautiful and doesn't need all that!!

Anonymous said...

anapenda ugali sana huyu umeona katumbo chake hakiko flat
she needs to do alot of situps