
Mzee mzima Derrick,Nash nadhani hapo niwapa kitu roho inapenda kwakuwa haya ndio mapigo yenu mnayoyazimikia kinoma...kuanzia chini mtaona nimewadunga kuanzia Cyber Yellow Converse,Dark blue texture jean,Green stretch shirt,Yellow cashmilon cardigan,Green Battenberg scarf,Euphoria for men fragrance by Calvin Klein...
3 comments:
Dah mkuu yaani hapo umelenga mule mule kabisa wala ujasokea maana hiyo rangi ya converse utata mtupu kitu kimesimama haswa siku zote naikubali converse kuwa its a traditional shoes hakiishi kwenye market kila siku jamaa wanakuja na ubunifu mpya
WOW HII EUPHORIA....its my favorate...ndo niilidabua ....imetuliaaa mnoooooooo .....ouhhh i can feel the smelll
if ma man wears lyk dis i ll go mad....nice selection
Post a Comment