Hayo ndio mambo ya Afrika Mitindo warembo ambao wengi wenu kutokana na maombi mengi kutoka kwenu na sehemu mbalimbali ambao mlikuwa mnaniomba niwawekee mitindo hiyo ya mavazi mbalimbali ya kiafrika basi nikaona sina budi kusikia kilio chenu na kuanza kuwadunga stock hizo matata kila siku katika category mbalimbali...basi kama kawaida embu tazama mapigo hayo pichani na mniambie mmeyapokeaje warembo...nakaribisha maoni yenu wadau...
2 comments:
Bravo Sheria umenigusa ipasavyo . nasikitika tu nilipo siwezi agizia nguo kama hizi hadi nigeuze bongo kushonesha kwa fundi I wish I could by red-made hhahahaha
wamependeza kinomaaa...lazma tukumbuke home mara moja mojaa...safi sanaa
Post a Comment