Tuesday 26 February 2008

Baby Blue & Cream/Brown







Du..sijui nianzie wapi na niishie wapi ila stock kwa mtazamo wangu imetulia vibaya sana hasahasa kwa wale watu na wadau wanaopenda kujipigilia mapigo simple bila kupenda kukandamiza mambo mengi...basi kuanzia down nimekudunga kwanza Maracca /Brown Trim Driving Moc,Double A Cord Pant,Fossil Gage Belt,Gentleman’s shirt,Jaxon Glen Plaid Ivy Cap,Round Dial Watch

No comments: