Tuesday, 26 February 2008

White & Purple
Haya warembo kama kawaida leo nimeona niwape mambo ya White & Purple inapokuwa imematchishwa na pamoja mtoko unakuwa vipi...kama ukitazama kuanzia juu mpaka chini mtakubaliana na mimi mapigo hayo si ya kitoto..tukianzia juu nimekuwekea kwanza Lucite Bangle,Floral Hobo,Aviators,Women's Denim Blazers,Sheer Burn Out Top,Women's Low-Rise Wide-Leg -The Diva Trouser Jeans & Carrie Colorblock Pump Shoe

1 comment:

Anonymous said...

nice combination, very stunning.