
Hizo ni baadhi ya picha na matukio mbalimbali yanayojiri pale bongo..kusema ukweli watu wanajitahidi sana kuvaa pamba freshna simple ukilanginisha na mambo yalivyokuwa hapo zamani ...basi wacha niwape muda wadau wangu msafishe macho na hizi snapu matata sana na special kwa wadau na wabongo wenzangu wote walioko Ughaibuni wakisoma au kutafuta maisha...
No comments:
Post a Comment