Thursday, 28 February 2008

Flocked Tie Tee






Nadhani kwa mapigo ya leo nitawagusa sana wadau ambao wanapenda kujilipua na Funky Style...nadhani mtakubaliana na mimi ya kwamba mara nyingi watu wanaopendeza mapigo ya namna hii ni wale watu wenye miili mwembamba sanasana...basi pichani utaona kuanzia juu nimeanza kwa kuwakea kwanza Fossil Oversized Watch,Cardigan Vest,Flocked Tie Tee,Fossil Gordon Belt,Projek Raw Comfort Jean and Tommy Hilfiger Black /Grey Canvas

No comments: