Sunday, 24 February 2008

Cargo Style







Cargo Style ndio hiyo warembo na ndio mapigo yetu ya kumalizia weekend yetu leo...tukianzia chini utaona nimekuwekea kwanza Women's Stretch Suede Moccasins,Women's Mid-Rise Sateen Shorts,Women's Belted Safari Jackets,Women's Faux-Ivory Necklaces,Women's Double-Disk Drop Earrings,Women's Quilted Totes and Women's Enameled Snake Bracelets

No comments: