

Basi wadau wacha leo niwape jibu la swali la Guess Who? nililowauliza wiki moja iliyopita kuhusu watoto wa kiafrika wawili ambao baba yao ni mmoja wa watu maarufu sana marekani na dunia kwa ujumla...na jibu ni watoto wa Mgombania Urais Mtarajiwa na Rais Mtarajiwa wa Marekani Barack Hussein Obama Jr...na watoto hao wanakwenda kwa majina ya Malia Ann (b. 1999) ambaye ndio First Born na Natasha ("Sasha", b. 2001) amabe ni Second Born wakiwa katika picha ya pamoja na mama yao Michelle Obama........Shukrani sana wadau wangu kwa Kujitokeza kwa wingi kwa kupiga kura...
No comments:
Post a Comment