Du...sijui nianzie wapi ila kwa kivupi hayo ndio mapigo yetu ya leo wadau..tukianzia juu kabisa mtaona nimeanza kwa kuwawekea kwanza huo unyunyu unaokwenda kwa jina la New Dunhill Pursuit 50ml eau de toilette,Dark Chocolate Jumper,Orange tonal grid check,Projek Raw Comfort Jean pamoja na Mguu huo chini
No comments:
Post a Comment