Simon Kitururu!
Si mwingine ila ni Mwanablogu mwezangu Simon Kitururu na Falsafa yake ya maneno ya kutukukwa ya kiswahili..kusema ukweli ukiitembelea Blog yake na maneno anayooandika utaweza kujiuliza maswali kemkem je anaimanisha nini..embu ngojea nikupe mstari kidogo wa maneno yake ili angalau upate muwashawasha wa kumtembelea ..anasema..''Haleluyah!Heri ya ........na kitu fulani!.......Ngojea niseme.... Du jamaa ni noma embu mtembeleni kwa kupitia http://www.simon-kitururu.blogspot.com
No comments:
Post a Comment