Wednesday, 27 February 2008

DESIGNER FATMA AMOUR NDANI YA UKUMBI WA HABARI NA MAELEZO LEO...

Designer Fatma Amour akiwa ndani ya ukumbi wa habari na maelezo mapema leo saa 3:30 asubuhi...picha namba moja Designer Fatma Amour akionyesha moja ya mavazi yatakayoonekana usiku wa tarehe 8 March pale Movien pic na aliye pembeni yake ni Asma Makau ambaye ni mwandaaji wa show hiyo na pia ndiye mwandaaji wa show kubwa za Miss Tanzania ambaye Miss Tanga Victoria Martin Redds ambassador ndiye zao lake kutoka mkoa wa Tanga.
Picha juu pia inamuonyesha Designer Fatma Amour akiwa na mmoja wa wadhamini wakubwa wa fashion show hiyo yaani Dollywood Tanzania ambao models wote watakaoonekana kwa usiku huo wametoka kwenye kampuni hiyo kubwa ya sanaa ya mitindo na matangazo ambayo imejikita kukuza vipaji vya wanamitindo chipukizi,kutoka kushoto ni wahusika kutoka Dollywood Ibra-him akiwa na Kay-Malosha.

No comments: