Wednesday, 27 February 2008

Sexy Outfit!








Hayo ndio mambo ya Sexy Outfit warembo kama kawaida naliendeleza game la mapigo kwa fujo zote...tukianzia down nimeanza kwa kukupa kwanza Tink Boots,Vivian Straight Leg Jean,4 Link Belt,Striped Shirt and Vest,Contemporary duo-tone plastic frames with gradated lens tint,Textured Tote Bag na kumalizia Polished Silver Bangles

No comments: