Wadau nilitaka niwaonyeshe jinsi gani wenzete Marekani Fashion na Politics zinavyokwenda pamoja...kama pichani juu ni raba ya Nike Air Force 1 ambayo imepakwa rangi na kudesignia kwa ajili ya kuonyesha support kwa Mgombania Urais Kwa Ticket Ya Democratic Barack Obama na kutumia Fashion kama kielelezo na kutangaza mgombea huyo.....Kwahiyo tukae tukijua ya kwamba Fashion ni popote na pia ni Ubunifu...
1 comment:
hi. tunaomba web ya hiyo raba tununue,,,,
mkelekeketwa
Post a Comment