Wednesday, 27 February 2008

Joyce....



Juu ni mrembo Joyce ambaye kanirushia hizi Snapu mwanana kabisa katika Vacation yake huko Dubai Falme Za Kiarabu na kula masnapu na baadhi ya ndugu jamaa na marafiki....pichani katikati akiwa na mrembo HildaRingo na pichani chini kabisa akiwa na Mujuni Makubo na Close Friends wao katika Jumba Lijulikanalo Kama EMIRATES PALACE...Shukrani sana Joyce Stock hizi.....

1 comment:

Anonymous said...

heeeehh hilda kazidi kuwa mnene sasa yupo wapi sijamuona muda ever since anfanya Regional Air.

NWay bro gud work aminia bt umeniharibu kila nikiingia kwa ofc lazma nifungue blog yako

all the best
belle fille