Thursday, 28 February 2008

Green Ruffle Front Blouse








Green ruffle front blouse ndio mapigo ya leo niliyoyaona niwape ili muweze kuserebuka nayo...tukianzia down kuna hicho kiatu chenye multi colour flani,Vivian Straight Leg Jean,Drop Chain Belt,Green ruffle front blouse,Kailey Beaded Necklace,Sunglasses & Victorian Gemstone Ring

No comments: