Sunday, 2 March 2008

10 DAYS COUNTDOWN TO 1ST ANNIVESARY OF SHERIA & MAVAZI BLOG!

NDUGU WADAU WAKUBWA WA BLOG YA SHERIA & MAVAZI...ZIMEBAKIA SIKU 10 IFIKIE 1ST ANNIVESARY/BIRTHDAY YA BLOG YETU HII TANGIA IANZISHWE MARCH 12TH 2007 ...TANGIA KUANZISHWA KWA BLOG HII NIMEFANIKIWA KUFIKISHA POSTS 1,782 MPAKA LEO HII NA KUPATA COMMENTS 1,558....KUSEMA UKWELI NI MAFANIKIO MAKUBWA SANA KWA BLOG HII NA WADAU WANGU WOTE POPOTE PALE DUNIANI KWAKUWA NIMEWEZA KUTAZAMWA NA TOTAL OF 119 COUNTRIES WORLDWIDE NA 150,386 VISITORS..NA KWA SIKU NATEMBELEWA NA NOT LESS THAN 900-1,000 DAILY VISITORS....NAPENDA KUWASHUKURU SANA WADAU ZANGU SANA KWAKUWA BILA NYIE BLOG HII ISINGEFIKIA MAFANIKIO HAYO NA PIA BILA KUMSAHAU KAKA YANGU HAKI NGOWI (FOOD FOR THOUGHTS BLOG) KWA MSAADA WAKE MKUBWA KWA BLOG HII NA BILA KUSAHAU WANABLOG KAMA MICHUZI BLOG,SHAMIM BLOG,FT BLOG,MKONO WANGU BLOG,TZUK WEBSITE,HIPHOP4EVA BLOG ,SWAHILI TIME BLOG,BONGO CELEBRITY BLOG,SIMON KITURURU,WWW.DJDONA.COM WEBSITE,DAVID SILAA BLOG,KWE2 BLOG,NA BLOG ZOTE AMBAZO SI RAHISI KUZITAJA ZOTE NAPENDA KUWAPA SHUKRANI ZANGU KUBWA SANA ZIWAFIKIE POPOTE PALE MLIPO...KWA NIABA YA SHERIA & MAVAZI NA STAFF MEMBERS TUNASEMA..................CHEERZ!

10 comments:

Anonymous said...

Wooow, ni mafanikio makubwa, Happy bithday Sheria na mavazi, God give you more years lo live
madau

Anonymous said...

Happy birthday Sheria na mavazi, kazi tunaikubali.

Faith S Hilary said...

Cheerzzz kaka..u came a loooong way n ppl appriciate wot u r doin n wil b rite ba ur side....

It's Candy1 :-)

Anonymous said...

Happy Birthday Sheria na Mavazi!!!!!!!!!!!! Blog yetu hii idumu na kudumu na KUDUMU!!!

Anonymous said...

oooh congrats sheria!!keep working hard, FT

Anonymous said...

Kip it Son...

****Haki,

Anonymous said...

hey cheerz sheria na mavazi thanks for giving us hot things thanks for showing us how to wear God bless u always sheria na mavazi ONE LOVE
Mdau

Anonymous said...

As for me I congratulate this young person of value for your work.keep up the good work, you know we appreaciate your work.We are extremely proud of the work your doing.All the best

Shemeji(anonymous someones mchumba)

DERRICK MUSHOBOZI said...

Cheerz bro wish u all the best you came from far and we value all what you have been doing through out all that time we appreciate all the things that u have been trying to put once again congratulations and keep up the good work............dont forget our dream the FASHION THING IN DAR ONCE YOU STEP UP YOUR FOOT

Simon Kitururu said...

Hongera Sheria!Kazi Baab Kubwa!Tuko Pamoja Mkuu!