Sunday, 2 March 2008

Button Vest & Pintucked Silk Blouse








Warembo kabla hatujaadhimisha 1st Annivesary ya blog yetu hii embu kwanza tuendelee kulipuka pamba za ukweli kwa siku hizi chache zilizobaki na ingawa katika maadhimisho wengine hatutakuwa karibu ila najua mtawakilisha kwa kuvaa pamba kali popote pale ulipo...basi tuanze na gwaride la utambulizi basi kuanzia chini nimeona nikiwekee Yogurt Heel,Button Tab Trouser,Pintucked Silk Blouse,Button Vest,Studded Hoop Earrings,Metallic Purse na kumalizia na Polished Silver Bangles

No comments: