Black & Aqua

Nadhani mtakubaliana na mimi warembo na wadau wangu wote ya kwamba rangi pekee ambayo inaingiliana na aina yoyote ya rangi ni si nyingine zaidi ya Black..sasa hapa nimeweka combination hiyo na rangi ya Aqua...kuanzia chini nimeweka kwanza Aqua Patent,Satin Bow Babydoll,Beaded Necklace,Mia Sunglasses,Beaded Drop Earrings & Candice Tie Dye Purse





No comments:
Post a Comment