White & Blue/Baby Blue


Haya wakuu wangu mimi hapo sina la kusema ila ni nyie kutazama na kubabua mzigo kama huo na kujilipua kisawasawa..tukianzia hapo chini nadhani mmekumbana na huo mkwaju simple na matata sana,Silver Decker Jean,Damien Stripe Shirt & Cable Knit Cardigan


No comments:
Post a Comment