
Haya wakubwa kwa upande wa mambo yetu nadhani mnajuawaga huwa hatunaga mbwembwe sana ila makamuzi yetnakuwa constant sana...kama hapo nimeona leo nikupa mixer kidogo kwa kumix Hiphop & FOrmal Style Flani...tukianzia chini kwanza kamata hiyo White White Adidas Superstar II,Trouser Pant,White Poplin shirt,Monochrome Argyle Sweater na Sunglasses hizo..




No comments:
Post a Comment