Wednesday, 19 March 2008

HAPPINESS MAGESA NDANI YA
Audi Joburg Fashion Week Autumn/Winter '08



Wadau hayo ndio mambo ya Former Miss Tanzania Happiness Magesa ambaye sasa yuko nchi South Africa akijihusisha na shughuli za Umodel hizo ni baadhi tu ya picha zake..Big Up sana Happiness

1 comment:

Anonymous said...

Kinachonishangaza mbona ma model wetu wa kiTZ wanaishia kutokuwa matajiri kama wakina naomi au hata level ya kawaida kwani Happiness mzuri she has all the qualities so kwanini sio bilionea mpaka sasa kweli TZ kuna mkono wa mtu