Smart!

Haya waungwana leo nimeona nikufanyie mixer ya rangi tofauti maanake najua wengi wetu tunapenda sana kuvaa full suit ila tukumbuke saa nyingine lazima sana kumatchisha namna hiyo..kama pichani nimekuwekea kwanza Driving Moc/loafer,Black smart trousers,Striped Formal Shirt,Chocolate Velvet Blazer,Vintage Cap!
5 comments:
What you have is a loafer and not driving moc. Get your facts right.
I have the similiar shirt exactly the way it luks with the strips
da mkuu kwanza shukrani sana kwa comments...sasa mkuu fanya mpango umalizie hiyo stock nzima unaonaje...haha ah aahahah maanake safari moja huanzisha nyingine....
Kwa jua la bongo unadhani huyo anaweza kumudu bei ya DJP? Hahahah endeleza njozi. Kiatu hicho ni mshahara wake wa mwezi.
da anon hapo juu naona unapenda kukatiza tamaa sana ....nakuomba usione watanzania wenzako ni maskini kiasi hicho...kumbuka hata pale bongo watu wanauwezo sana...haha ahaha
Post a Comment