RIHANNA!
Jamani na waremb wa Blog hii naomba niwaulize ni mwanamziki gani mwanamke kwa kipindi hiki anaweza kumfikia Rihanna kwa Upande wa Fashion kwasasa....mimi kwa upande wangu ni namba moja ...je wewe mdau nani unaona anaweza kuwa mpinzani au zaidi yake?
5 comments:
"kwa sasa" naona hampati mtu japo other female celebrities dress nice...thats my opinion
jamani mi mbona naona yuko kawaida tuuuuuuuuu.. ebu onyesha picha nyingine to prove... mmmh
Kuna mdada moja anaitwa "P" amepungua ile mbaya nadhani ndio mzuri kulikio rihana hahahaha
Jamani penye sifa mwageni sifa acheni uchoyo mimi kama mimi waukweli namkubali sana Rihana hana mpizani kwa sasa labda aje atokee apobaadae.Big up Rihana.
weeee anon nani hapo juu nikikukamata haya jifanye mjanja umenipata this time lakini kweli mimi mzuri kuliko Rihanna ehee pia kwa pamba zangu nyepesi anikuti ng'oooooooo.ukweli kwa sasa Rihanaa yuko juu kuliko macelebrity wengi kwa mavazi
Post a Comment